Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600

Kilo 8 ama 9 hapa itatokana na aina ya upimaji. Kama debe litapiwa kwamajumulisho ya visado(vitini) basi litatoa kilo 9 mpaka 10. Yaani wawe wanahesabu vitini vinne sawa na debe moja

Uongoo gunia ni debe6....pia iwapo likimwa vzr hutoka kg70+
Debe zinatofautiana mfano madumu ya cola Yale ya rangi au madumu kutoka Mozambique Yana ujazo zaidi hivyo hutoa Hadi k13 Yale ya kawaida da mfano ya korie au safi hutoa kg7-10 kulingana na mpunga ulivyotoka baada y kukobolewa
Jana jioni nimekoboa dumu Moja la safi kw ajiri ya matumizi yangu limetoa kg9 nilikuwa nimepima kawaida tu na mpunga ulitoka grade 1
Apo inategemeana na mpunga wenyewe ulivyo Kuna ujazo pamoja na uzito, kama mpunga upo vizuri Kwa kipimo Cha Lita zinakua 10-13 kwenye debe ila mpunga ulio pata maji vizuri hua mzito na huvimba sana wakati wa kupika