Wakubwa wanafaidi

Hizi nguo ni janga jamani naona
Dogo kaona angalau nae aone kuna nini!
 
Nimeamua kuifunua zaidi ili nyote muone!!
 
Huyu dogo atakuja kuwa T.O (Transport Officer) au ana kipaji cha udereva, si unaona anajaribu kutafiti barabara aliyotumia kuingilia duniani.
 
Huyu dogo atakuja kuwa T.O (Transport Officer) au ana kipaji cha udereva, si unaona anajaribu kutafiti barabara aliyotumia kuingilia duniani.

The the teh🙂Ukubwani atakuja kutumia muda mwingi akihangaika kurudi huko alikotokea......Maana njia kaishaitambua mapemaaaa
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha dogo kaona isiwe tabu ngoja na mie nijipatie he he he he he he he he
 
teh teh teh... dogo alitaka kuona huo mguu
 
Heaven on Earth njoo uone mwanao anakosea wakubwa adabu huku. Anachungulia alikotoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…