Wakubwa wanafaidi nyie

Wakubwa wanafaidi nyie

Kumbe na huyu mzee naye ana tabia mbaya ya kivitendo?mi nlidhani ni kapuya tu.
 
Halafu mzee naona anasomesha huyoo... binti tikitiki... kalegezaa, anakenua tu... mh!
 
kumbe Halima amefanya kazi kubwa sana kukarabati uso wake!!!!!!!!!!
 
kweli uzee mwisho Kibaigwa...Dodoma kila mtu baby
 
cc mkuu Madodi .................
 
Last edited by a moderator:
vipi kuhusu hewa inayotoka kwa mheshimiwa au wenzetu njo vile........?
 
Back
Top Bottom