Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
WachangamshaneTafuta marafiki Wa jinsia tofauti na yako, ukiwa home wanakuja wanakuchangamsha
WachangamshaneTafuta marafiki Wa jinsia tofauti na yako, ukiwa home wanakuja wanakuchangamsha
alioteshwa kuwa mwanamke wa kwanza kujibu uzi ndiye yeye.Maombi gani?
sasa si ndio nakupigia pass ya mwisho, we huoni kama umebaki na golikipa hapo halafu unaanza kuniuliza "sasa mimi ni beki, nifanyaje"Me mwanaume
pumzika kwa amani..mkuu!Sijakuelewa unamaanisha nn?
Nikiwa home nakuwa mtu wahasira siongei na mtu napooza sana yani mpaka kero na nikitoka home nakuwa fresh kabisa hivi mnaweza kunisaidia nini tatizo hasa
NdomanakeWachangamshane