karibu jamvini. nini kimekufuahisha mpaka ukaamua kujiunga JF? hebu fafanua ili tukukaribishe usije ukawa umepanga kuja kupiga kelele tu humu jamvini.
welkam again dude!!!
karibu jamvini. nini kimekufuahisha mpaka ukaamua kujiunga JF? hebu fafanua ili tukukaribishe usije ukawa umepanga kuja kupiga kelele tu humu jamvini.
welkam again dude!!!
kuna mada zinazoelimisha, na pia updates za matukio ya papo kwa hapo. Sababu wadau wa Jf wako kila mahali, siwezi piga makelele huku mkuu. Najua moniter na monitress wataniandika jina na kupata adhabu kali.