Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia
Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa
Kwanini unakunywa beer ?
Nikamjibu tu napenda akaniangalia usoni akasema wewe muongo
Ila unaonekana hauna mwanamke hilo sikumjibu
Kaenda kuhudumia karudi kasogea zaidi nilipo
Nikamuuliza jina kanitajia VIVIAN
Nikamuomba number akaninyima kasema hawezi kunipa sababu. Nimemdanganya