Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

VIPI NA WEWE UKILETA NYODO MKE WAKO ATAFUTE MME WA PEMBENI AMA ?
 
mkuu sijazungumzia nyege nimezungumzia nyodo.
 
Kuwa na mke mmoja Ni Bora zaid kuliko kuwa nao wengi ..
Tatizo linakuja pale unapo kosea kufanya chaguo sahihi ..
Isitoshe una haki ya kuamua kufanya kitu roho inapenda
Mie mkristo mwezako naona Ni kheri na Nina furaha tele kuwa na mke mmoja

Waulize sasa hao wanao olewa wake wenza wanapenda??
Jibu baki nalo mwenyewe...

Ndio mana ametoka pande izo na sasa anaitwa angel mama Watoto.....ameona kheri kuwa na mbeba msalaba...
 
Kila mtu na lake ya nini ujipe Shida? kwani kuna watu wamekunywa damu ya Yesu na kula mwili wake hawatalikubali hilo japokuwa wana vibanda umiza, ushauri wangu wewe badili dini uwe Muislamu ili upate kuitumia fursa hii muhimu kuoa mke zaidi ya mmoja hadi wanne. KARIBU.
 
Ngoja nishindwe huku kwanza mkuu,nitakaribia,ahsante.
 
Hajakuletea nyodo huyo mkuu,hongera.Kwangu mambo si mambo.
 
Kwani mkuu binadamu hawezi kuishi bila tendo la ndoa?
 
Hamna lolote. Amefuat hela tu. Ngoja uishiwe uone kama hilo jina atalipenda tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…