Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Naam....nadhani wamelenga kutufikisha huku sasa!

Na vile wanajua wadanganyika hawajali, wametanguliza UMIMI na KUJIMWAMBAFAI mbele, hawatakuwa na habari wala maono ya kinachopangwa...yaani ni kama vile ULAYA inapoanza kushtuka saa hii kuwa IMMIGRANTS ni unforeseen plot, watu wanafanya multiplication and intermarriage, soon wana-take over then thats it.

Pu pa...minyororo inarudi, sheria inakuwa sharia
 
Asilimia kubwa sana ya watanzania ambao ni wapiga kura wala hawajui kinachoendelea katika nchi yao.

Hii imenifanya nisikitike kama Mbaga Jr.

Bongo ni nyoso!!
wapiga kura wamechil wanasubiria karatasi yenyepicha waanze kuuliza "wasisiemu yukowapi mana hatutaki vita"😁😁😁😁😁
 
wapiga kura wamechil wanasubiria karatasi yenyepicha waanze kuuliza "wasisiemu yukowapi mana hatutaki vita"😁😁😁😁😁
Kweli kabisa watu hawajui kinachoendelea nchini maana hizi habari hazipatikani redioni na kwenye magazeti na hata zingekuwa zipatikana watanzania wasingezifuatilia.

Utanzania ni shida shida shida mpaka siku ya mwisho 😎
 
Waswahili wanasema huwezi kumnyweaha Mungu uji!! Safi sana sana! Huwezi kutikisa mzinga wa Nyuki utegemee nyuki hao wakutekenye!!

Dawa ya moto ni moto!!

Samia be strong hiki ndicho hawa washenzi wanastahili!
Mtanikumbuka by Shujaa Magufuli πŸ˜‚πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…