mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Gazeti la kikristo leo MSEMA KWELI jumapili limeandika kutakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi ya taifa la Israel.
Kwa Mujibu wa gazeti hilo wakristo wote watahusika akiwemo na mtumishi mmoja mwenye Asili ya kiyahudi...
Ombi langu katika maombi hayo msiwasahau wajane, walemavu, watoto yatima, wagonjwa, wasio na makazi huko ukanda wa Gaza na sehemu nyingine hapo Palestina.
Hawa na wahitaji wengine wanaotuzunguka ndio yesu atatuuliza wakristo siku akija....