Wakristo mnapokutana kuwaombea waisrael msiwasahau na wapalestina wanaoteseka huko Gaza

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Gazeti la kikristo leo MSEMA KWELI jumapili limeandika kutakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi ya taifa la Israel.
Kwa Mujibu wa gazeti hilo wakristo wote watahusika akiwemo na mtumishi mmoja mwenye Asili ya kiyahudi...

Ombi langu katika maombi hayo msiwasahau wajane, walemavu, watoto yatima, wagonjwa, wasio na makazi huko ukanda wa Gaza na sehemu nyingine hapo Palestina.
Hawa na wahitaji wengine wanaotuzunguka ndio yesu atatuuliza wakristo siku akija....
 
Waniombee na serikali yetu....

Wawaombee viongozi wa CCM waache roho mbaya...

Wamwombee sana yule jamaa yetu anayependa sana kuombewa.
 
Unaliombea Taifa dhalim kama IsraHell ambalo halifuati biblia wala Yesu kama si uzandiki kitu gani
 
ujinga kama huo huwa sifanyi,kwani aliyewaumba hajui kama wanateseka na kuwaondolea hayo mateso na mauaji?
sisi wanadamu ni wanafiki sana,sometimes huwa wajuaji kuliko hata MUNGU,aliyeumba ulimwengu na vitu vilivyomo..
 
Gazeti la kikristo leo MSEMA KWELI jumapili limeandika kutakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi ya taifa la Israel.
Kwa Mujibu wa gazeti hilo wakristo wote watahusika akiwemo na mtumishi mmoja mwenye Asili ya kiyahudi...

Ombi langu katika maombi hayo msiwasahau wajane, walemavu, watoto yatima, wagonjwa, wasio na makazi huko ukanda wa Gaza na sehemu nyingine hapo Palestina.
Hawa na wahitaji wengine wanaotuzunguka ndio yesu atatuuliza wakristo siku akija....
 
Kwa msiojua maeneo matakatifu kwa waislamu na wakristo huko jerusalem yako chini ya usimamizi wa mfalme wa jordan,

yaani wayahudi hawakutaka hata kujihusisha na maeneo matakatifu ya wakristo pale jerusalem,waliona kutunza mfano lile kanisa la jerusalem ni kufuru kwao kwani hawamtambui yesu
 
Gazeti la kikristo leo MSEMA KWELI jumapili limeandika kutakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi ya taifa la Israel.
Kwa Mujibu wa gazeti hilo wakristo wote watahusika akiwemo na mtumishi mmoja mwenye Asili ya kiyahudi...

Ombi langu katika maombi hayo msiwasahau wajane, walemavu, watoto yatima, wagonjwa, wasio na makazi huko ukanda wa Gaza na sehemu nyingine hapo Palestina.
Hawa na wahitaji wengine wanaotuzunguka ndio yesu atatuuliza wakristo siku akija....
Siyo wakristo hao, labda wayahudi. Wakristo tunaamini watu wote ni sawa, hakuna cha myahudi wala myunani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii haiwezi kuwa serious

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Siyo wakristo hao, labda wayahudi. Wakristo tunaamini watu wote ni sawa, hakuna cha myahudi wala myunani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi ni mkristo...
Ila naungana na yesu na mitume wote.
Yesu aliondoa kiambaza kinachotutenga sisi na wayahudi...
Hakuna cha myahudi, wala myunani, wala mmataifa wote ni sawa mbele za Mungu ktk yesu kristo.
Hili somo lilisisitizwa sana na mitume na Paul wakiwaelimisha wayahudi waliosugu kuelewa. Sasa tukianza kurudi kule tunafeli
 
Back
Top Bottom