Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,318
Habari za leo wapendwa.
Kwa siku takriban tano nimekuwa nikiumiza kichwa na kujiuliza wakowapi wazalendo wa nchi hii? ndio wale wazalendo waaandishi wa habari na wanasiasa waliokuwa wakipinga Tanesco isinunue mitambo ya Dowans kwa sababu ni ya kifisadi! Lakini wamefyta mkia baada ya Dowans kuuzwa! sasa nashindwa kuelewa akili zao zipo vipi? Maana mashine zile zingenunuliwa na Tanesco kusingekuwa na capacity charges wala kununua umeme utakaozalishwa kwa units zitakazozalishwa. Sasa kuna maneno ya chini chini kuwa Symbion Power wanajadili mkataba na Tanesco je Symbion watauza umeme senti nne za kimarekani kama Dowans? ina maana wazalendo wetu wanalichukulia poa hili swala la nchi yetu kuwa shamba la bibi? Wako wapi waandishi wetu waliokuwa wamelisimamia kidedea swala la Dowans? Wako wapi wanasiasa wetu waliokua wakiongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka kwenye kupinga serikali isinunue mitambo ya Dowans?
Naongejea kwa hamu Dr Slaa, Mwakyembe na Sitta wazungumzie ununuzi huu I can't wait Mwanakijiji na kina Ansert Gurumo articles to apper on newspapers ziwe za kupongeza Symbion Powers au kama zile za Dowans nina shauku kujua mengi hawa wakubwa wanalichukulia vipi hili swala.
Anza wewe toa msimamo wako.
Msimamo wangu ni kuwa Tanesco wangenunua mitambo pengine hii ya dowans haifai basi wangenunua mingine ili isiingie gharama za kununua umeme na zile za capacity charges wewe msimamo wako upo vipi?
Sheria za manunuzi za serikali haziruhusu kununua mitambo ambayo ni second hand, na pia hairuhusu "kusingle source" mzabuni..
tuache ushabiki hapa .... kinachotakiwa ni TANESCO kuwa na umeme (megawatts za kutosha) wenye uwezo wa kukidhi gridi ya taifa ... sasa nani anazalisha nani ana mitambo hizo zote ni corporate interests
uzalendo huu umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu tunakiri wazi kabisa TANESCO ni public institution ambayo imekuwa haina track record nzuri ya kujiendesha na kutoa nishati ya umeme .... mojawapo ya sababu za kushindwa kwao ni poor management
nahisi hivi ni vimipasho kwa Mzee M ... unless otherwise hakuna hoja kwenye mada hii
Kuna mtu kanitumia msg kwenye namba yangu ya kiganjani anasema tatizo Dowans ni wavaa kanzu ndio maana walikuwa hawanywi maji na Symbion wapiga suti ndio maana jamaa kimya! sijui kama hili lina ukweli mie naamini kuna jambo iweje magaazeti ghafla hakuna habari tena za dowans wala symbion?
Kumbe MS ulikua unaelekea huko. Dah!
Unaanza kudiverge mada stick to the point
Habari za leo wapendwa.
Kwa siku takriban tano nimekuwa nikiumiza kichwa na kujiuliza wakowapi wazalendo wa nchi hii? ndio wale wazalendo waaandishi wa habari na wanasiasa waliokuwa wakipinga Tanesco isinunue mitambo ya Dowans kwa sababu ni ya kifisadi! Lakini wamefyta mkia baada ya Dowans kuuzwa! sasa nashindwa kuelewa akili zao zipo vipi? Maana mashine zile zingenunuliwa na Tanesco kusingekuwa na capacity charges wala kununua umeme utakaozalishwa kwa units zitakazozalishwa. Sasa kuna maneno ya chini chini kuwa Symbion Power wanajadili mkataba na Tanesco je Symbion watauza umeme senti nne za kimarekani kama Dowans? ina maana wazalendo wetu wanalichukulia poa hili swala la nchi yetu kuwa shamba la bibi? Wako wapi waandishi wetu waliokuwa wamelisimamia kidedea swala la Dowans? Wako wapi wanasiasa wetu waliokua wakiongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka kwenye kupinga serikali isinunue mitambo ya Dowans?
Naongejea kwa hamu Dr Slaa, Mwakyembe na Sitta wazungumzie ununuzi huu I can't wait Mwanakijiji na kina Ansert Gurumo articles to apper on newspapers ziwe za kupongeza Symbion Powers au kama zile za Dowans nina shauku kujua mengi hawa wakubwa wanalichukulia vipi hili swala.
kumbe wewe target yako hapa ni kuongelea udini tu hapa.Kuna mtu kanitumia msg kwenye namba yangu ya kiganjani anasema tatizo Dowans ni wavaa kanzu ndio maana walikuwa hawanywi maji na Symbion wapiga suti ndio maana jamaa kimya! sijui kama hili lina ukweli mie naamini kuna jambo iweje magaazeti ghafla hakuna habari tena za dowans wala symbion?
Habari za leo wapendwa.
Maana mashine zile zingenunuliwa na Tanesco kusingekuwa na capacity charges wala kununua umeme utakaozalishwa kwa units zitakazozalishwa.
Tatizo kubwa ni kuangalia ni nani atafaidika moja kwa moja na deal ya TANESCO. Sasa hawa akina SIX kwa sababu RA hatakuwa anafuatilia malipo TANESCO wapo kimya. Magazeti yetu usiseme hata wapinzani wameufyata kwa likampuni la akina OBAMA. Kama Shossi alivyosema, wananchi wetu kuanzia chini hadi mpangaji wa MAGOGONI wakiona Mzungu suala la utaratibu halipo, HIVYO kwa Symbion hakutakuwa na kufuata sheria ya manunuzi. Subiri wiki ijayo katika HOTUBA ya Bajeti watapotamka mitambo ya SYMBION ni suluhisho la MGAWO wa umeme nchini.
"During the period that we will be testing the equipment online, we will be generating electricity at our own risk - meaning that even before we have an agreement with Tanesco. Power will be provided during this testing phase at no cost from Symbion to them," he said, adding: "This will be of immediate benefit to Tanzania."
Symbion last week submitted proposed charges for the sale of electricity to Tanesco. Its Country Director, Christopher Camponovo, told reporters in Morogoro that the charges form part of the Symbion bid opened publicly at Tanesco.
These are 4.99 US cents per kWh using gas and 6.5 US cents per kWh when using jet fuel, both amounts excluding fuel costs and described by Symbion as lower than those charged by Songas and IPTL.
"Our charges are lower than even the cost of Tanesco's own gas generation in Dar es Salaam and Mtwara," he said.
Ndio maajabu yenyewe wanasiasa unaweza wapa benefit of the doubt labda wanajipanga kuangalia political gains or calculating their own attacks.
Lakini waandishi mmmmh maana kwanza ilianza hile ya Lowassa kunyimwa uraisi kwa misingi ya udini hawa watu inaonekana wanananulika kirahisi kama wadada wa magot. Mara tu gazeti hilo hilo moja limekuja na staili nyingine hizi kweli siasa za maji taka.
Yote njaa na kutokuwa na imani na wao wenyewe hawa wazalendo uchwara si ajabu ni watu wakujiami na kuogopa ogopa hata visivyokuwa matishio kwao pengine hata wasikutane navyo in their life times.
sidhani kama wazalendo walikua hawataki mitambo ya dowans, bali walikua against procedure ya procurement.... and once one transfers ownership to another part ile product inakua haihusiani na huyo mpya unless ni kampuni hiyohiyo...Habari za leo wapendwa.