evern de prince
Member
- Jul 19, 2016
- 9
- 2
Na ukipenda kupongezwa kwa kila ufanyalo basi wewe unamatatizo maana huwezi kuwa sahihi kwa kila ufanyalo,Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Kwahiyo opposition nalo ni neno la kiswahili lilipo kwenye kamusi ya kiswahili?!Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.
Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.
Kwa kukusaidia zaidi hoja yako kwa kiwango kikubwa inajibiwa hapa;
LINK>>>Cambridge Analytica Played Roles in Multiple African Elections
''Democracy is supposed to mean that the leaders of a nation do what their people want. Most Africans will tell you what we most want is food, water, shelter, medical care and education for our children.
If a country’s leaders are providing these basic human rights to their people they are doing what their people want and practicing democracy. If they are not, if their people are hungry, cold, sick and illiterate then these leaders are not democratic no matter how many times they hold “elections”.
Democracy vs elections is how matters stand in Africa today, and it all boils down to who is cold, sick, hungry and illiterate and who has leaders taking care of their people, first and foremost, those most in need.
Elections in Africa means divide and rule, followed by crisis management, managing the western created crisis to better loot and plunder Africa’s resources, everyday more critical in a world ever more rapidly devouring such''-Thomas C. Mountain is the most widely distributed independent journalist in Africa
Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.

Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Unataka usifiwe tu kila siku?Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.
Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.
Kwa kukusaidia zaidi hoja yako kwa kiwango kikubwa inajibiwa hapa;
LINK>>>Cambridge Analytica Played Roles in Multiple African Elections
''Democracy is supposed to mean that the leaders of a nation do what their people want. Most Africans will tell you what we most want is food, water, shelter, medical care and education for our children.
If a country’s leaders are providing these basic human rights to their people they are doing what their people want and practicing democracy. If they are not, if their people are hungry, cold, sick and illiterate then these leaders are not democratic no matter how many times they hold “elections”.
Democracy vs elections is how matters stand in Africa today, and it all boils down to who is cold, sick, hungry and illiterate and who has leaders taking care of their people, first and foremost, those most in need.
Elections in Africa means divide and rule, followed by crisis management, managing the western created crisis to better loot and plunder Africa’s resources, everyday more critical in a world ever more rapidly devouring such''-Thomas C. Mountain is the most widely distributed independent journalist in Africa
Nitajie mradi mmoja ulioanzishwa na kukamilika kwenye serikali ya magufuli niusifie.Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
unakuwaje mshirika wa maendeleo hewa wakati kila uchwao serikal inaborongo, ya jana afadhali ya juzi,ya Leo afadhali ya Jana na ya kesho afadhali ya Leo. ukweli Tanzania hatuna rais, tuna bora rahisi miaka 50+ ya Uhuru maendeleo bora ya mkoloni. siwezi unga mkono ujinga, nitapinga hadi hapo mambo yatakapokuwa kwenye right truck kwa matendo na sio porojo na propaganda zinazofanywa na watawala wa sasa..Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Kweli kabisa, hata ile 1.5T iliyopotea/isiyokuwa na maelezo wala viambatanisho kama sio vielelezo vya matumizi yake,ni vibaraka wa wazungu wamemtumia CAG na Zitto kuichafua serikali...poor you ccm mpya.Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
Mkuu hapa ndipo hoja ya Zitto kuhusu majibu ya hoja inapokuwa na nguvu.Mtu ambaye kazi yake ni kukosoa tu na kupinga hana faida yoyote katika ujenzi wa taifa endelevu.
Ndio maana hata wataalam wa kamusi ya kiswahili waliwaita WAPINZANI wakati wale wanajua maana ya demokrasia wanawaita OPPOSITION.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya WAPINZANI na OPPOSITION.
H. Polepole alishakwambia 2020 katafute kazi ya kufanya, labda Ridhwani Kikwete au Mangi Kimambi watakupa kazi lkn Bunge letu sahau, haurudi!
2025-2025 say no Mafisadi, no Usaliti!
Zito Kabwe, Tundu Lisu &Co. Out!
Kukosoa sio tatizo, Kama unakosoa Kwa staha na kuleta way forward, sio majungu na kupakaziana
Kigoma ujiji kumepotea sh ngapi??Kweli kabisa, hata ile 1.5T iliyopotea/isiyokuwa na maelezo wala viambatanisho kama sio vielelezo vya matumizi yake,ni vibaraka wa wazungu wamemtumia CAG na Zitto kuichafua serikali...poor you ccm mpya.
BombardierNitajie mradi mmoja ulioanzishwa na kukamilika kwenye serikali ya magufuli niusifie.
Ukiona mtu kila siku anataka kutukuzwa basi ujue ameshaanza kujiringanisha na mungu.Ukiona mtu kila siku yeye ni kukosoa tu ujue huyo ni adui wa maendeleo.
Wapinzani wanatakiwa kuwa washirika wa maendeleo sio maadui. Hawatakiwa kukosoa tu kila kitu. Wanatakiwa kukosoa kwa malengo ya kuboresha.
Tangu lini serikali imekubali kushusha madai yake hadi hicho kiasi ulichosema?madai ya $490bn ambayo Serikali iliyatoa kwa Kampuni ya Barrick yalishuka mpaka $300m ambazo hazijalipwa mpaka sasa