Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 923
- 1,357
Dah kwamba yule mwingine wa uongo au🤣🤣🤣The Real Ronaldo
Makosa ya waamuzi hayoMimi nakubali messi ni bora, kwangu ni namba 2 baada ya pele, kisha cr7 anaweza akawa wa 7 hivi ama wa 5..
Swali je, kwanini kuna matukio messi hapewi kadi, naikumbuka ile na holland alidaka mpira, kuna ile akiwa inter miami, mbaya zaidi juzi alimkanyaga mcjezaji wa algeria ile aio bahati mbaya, sababu marudio yanaonesha wakati anaemda kukanyaga macho yake yalikuwa kwenye miguu ya mwenzir, kwanini isiwe kadi nyekundu, je FIFA wanalinda heshima ya mwamba?
We ulishawahi kuwa beki ukamuona Messi au umesimuliwa🤣Ukiwa beki halafu ukimwona Messi anampira basi ushuzi utakotoka tu hata kama hujala kunde.
Mabeki ndo wanasimulia hiyo story.We ulishawahi kuwa beki ukamuona Messi au umesimuliwa🤣
Beki gani mmojawapoMabeki ndo wanasimulia hiyo story.
Nimehifadhi majina yao kwa sababu za kiusalana.Beki gani mmojawapo
Sio wa Madrid?Nimehifadhi majina yao kwa sababu za kiusalana.
Wa hiyo timu nao ni miongoni.Sio wa Madrid?
Basi mmoja wao atakuwa PepeWa hiyo timu nao ni miongoni.
Hilo umesema wewe.Basi mmoja wao atakuwa Pepe
Yeye na mwenzie Ramos hawakosi kwenye hiyo orodhaHilo umesema wewe.
Yatakua maneno ya ramos na pepe walikua wanajikuta wamegongana wao vichwani messi kapitaUkiwa beki halafu ukimwona Messi anampira basi ushuzi utakutoka tu hata kama hujala kunde.
HaohaoYatakua maneno ya ramos na pepe walikua wanajikuta wamegongana wao vichwani messi kapita
Hivi kule Saudi Arabia amechukua tuzo yoyote msimu huu?CR7 yeye kabakisha kutema mate tu uwanjani kama mbugia ugoro.
Nafikiri wamechukua ligi.Hivi kule Saudi Arabia amechukua tuzo yoyote msimu huu?
hapanaNafikiri wamechukua ligi.