Wakongwe wa jf je inawezekana???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakongwe wa jf je inawezekana????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andry surlbaran, Jun 3, 2011.

 1. a

  andry surlbaran Senior Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nataka kubadili user name yangu nimejaribu nimeshindwa na nimejaribu kuweka picha /avatar nimechemka, msaada tutani!
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kubadili user name mpaka uwasiliane na mods, avatar ni mautundu yako tu
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  mtumie message administrator na umpatie jina unalotaka kutumia sasa. Suala la Avatar subiri upate uzoefu kwanza!
   
 4. a

  andry surlbaran Senior Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawasiliana vp na administrator? kwa email ama?
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Muandikie PM invisible...
  au kuandika PM pia huwezi?
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nemesis


  JF Senior Expert Member Re: Wakongwe wa jf je inawezekana????
  (''mtumie message administrator na umpatie jina unalotaka kutumia sasa. Suala la Avatar subiri upate uzoefu kwanza!'' )

  Kaka Nemesis wewe ni senior member tena expert! Sasa ukimjibu jamaa kwa namna hiyo huoni unamfanya ajisikie kama vile kuna kunyimana utamu fulani hivi! Hiyo ni kauzibe - msaidie na yeye afaidi mambo ya JF. Dont be a miser maana ukimpa hiyo idea wewe hupungukiwi lolote!:dance:   
 7. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanini unataka ku change user name au kwa sababu jina lako linaonekana la kihindi na humu wahindi wanapingwa kwa ukabaila wao..kaa hivyo hivyo..
   
 8. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  avatar tu?ntaku-teach mi ndo small sharobaro
   
Loading...