Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Abee kwa niaba ya wote
Abee kwa niaba ya wote
Kupatwa kwa JFHahahaha kule makapuku forum huku wakongwe forum hahaha jf raha sana..

Imewaka au imepatwa?JF imewaka
Imepatwa!Hii forum imekufa?
kashikwa au?Tangu Tembosa apotee hewani nayo ikapatwa.
Sijui ila ukicheki last seen ni muda mrefu.kashikwa au?
ha ha ha ha hivi wewe sio mkongwe?Wakongwe mnapitwa na kapukuz...