Wako wapi watu hawa?

Wako wapi watu hawa?

Baada ya kuachwa na my wife wangu Madam B na kukimbilia kwa yule jamaa wa siasani, ilinibidi nitafute muda kidogo wa kufind myself. lakini namshukuru Mungu kwamba nimerudi salama. Niko hapa na Chimbuvu naandaa mikakati kabambe ya mapinduzi makubwa. Naandaa Waraka ili tumuengue Baba V tumechoshwa na rais wa milele kama Idd Amini.
Hata hivyo niliwamiss sana watu wangu wa nguvu @mkiva Arushaone Donn tedo Chibolo etc........

Hivi mnapenda kurogwa mwisho wa mwaka hivi ee..!? waulize wenzio kilichowatokea.....!
 
Kiukweli nimemmis Kongosho!!! hivi yupo kwel?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuachwa na my wife wangu Madam B na kukimbilia kwa yule jamaa wa siasani, ilinibidi nitafute muda kidogo wa kufind myself. lakini namshukuru Mungu kwamba nimerudi salama. Niko hapa na Chimbuvu naandaa mikakati kabambe ya mapinduzi makubwa. Naandaa Waraka ili tumuengue Baba V tumechoshwa na rais wa milele kama Idd Amini.
Hata hivyo niliwamiss sana watu wangu wa nguvu @mkiva Arushaone Donn tedo Chibolo etc........

Dah.. harakati zilikaba sana.... nikabaki kuwa msomaji tu wa jukwaa la CC, ila ntajongea mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom