Wako wapi watu hawa leo? Na wanakumbukwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi watu hawa leo? Na wanakumbukwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Aug 9, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hii ilitokea mwaka 1995


  The new ministers are:


  Home Affairs: Ernest Nyanda (formerly Mwanza Regional Commissioner). This was one of the biggest surprises in the reshuffle. The previous minister, Augustine Mrema, had achieved great popularity in his vigorous attempts to root out corruption, correct injustice and defend women’s rights. In doing so he had a number of brushes with the judiciary and presumably made some enemies. Another factor in this change might be the seriousness of unemployment which will be in Mr Mrema’s portfolio in future.


  Agriculture: Frederick Sumaye (former Deputy Minister)

  Health: Zakia Meghji (former Deputy Minister)

  Information and Broadcasting: Philip Marmo (MP for Mbulu)


  Other new appointments are as follows:
  President’s Office. Ministers of State:
  Ahmed Hassan Diria
  (former Minister of Labour and Youth Development)
  Fatma Saidi Ali (responsible for the Civil Service )

  Horace Kolimba (Planning). He was formerly Secretary General of the CCM Party
  Abdulrahman Kinana (Defence and National Service)

  Ministers Without Portfolio: John Malecela (former Prime Minister)
  Kingunge Ngombale-Mwiru  Finance: Lt. Col. Jakaya Kikwete (former Minister of Water, Energy and Minerals). See page 27 of this issue.
  Industries and Trade: Kighoma Malima (former Finance Minister). This was another surprise in view of the similarity of the duties of this post to those of the finance portfolio from which Prof. Malima had been removed

  Water,Energy and Minerals: Jackson Makwetta
  Labour and Youth Development: Augustine Mrema

  Nine ministers who retained their portfolios were:


  Works, Communications and Transport: Nalaila Kiula

  Tourism, Natural Resources and Environment: Juma Umar


  Education and Culture: Philemon Sarungi


  Science, Technology and Higher Education: Benjamin Mkapa


  Lands, Housing and Urban Development: Edward Lowassa


  Community Development, Women and Children: Anna Makinda


  Foreign Affairs and International Relations: J. Rwegasira


  Justice and Constitutional Affairs: Samuel Sitta


  Minister of State, Second Vice-President’s Office: Mohammed Said Khatib
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aisee Kichuguu ile kesi uliyosema utaenda kuifungua kulw Nebraska dhidi ya spika wa zamani, Pius Msekwa, vipi imeishia wapi?
   
 3. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  halafu kichuguu...hii si mwaka 1995 bana...
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kichuguu - Unataka kufukua makaburi?

  Hawa watu wafutao: (!)
  Kighoma Malima
  Horace Kolimba
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kichuguu! Kichuguu twafwadhali sana! 2po mwaka 2011.
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hayo yote ni makapi tu wengi waliharibu kazi hawastahili kukumbukwa kwa mema...nawachukia kabisa!
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna teknikalitiz zinazoshughulikiwa bado. Nilishafikisha kesi yangu mahakamani kwa maandishi, ila hakimu akaonyesha teknikalitiz kadhaa kadha ambazo bado ninazishughulikia.
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Umeshahau kuwa nchi hii ina-recycle watu wale wale? Huoni Waziri wa fedha wa wakati huo akiitwa Lt Col Jakaya Kikwete leo hii yupo anaitwa President DR. Jakaya Kikwete?

  Waziri wa Maendeleo ya jamii, wanawake Anna Makinda na watoto leo hii akiitwa Mheshimiwa Spika Anna Makinda
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ooh haya. Usiache kutuapdeti basi, au sio?
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kichuguu Hadithi hii inatufundisha nini kwa 2011?
   
 11. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Afadhali umeuliza swali zuri sana kuliko wote waliotangulia. Swali lako linajibiwa zaidi kwa kifungu hiki:

  Sasa ukiweza kusoma huo ukurasa wa 27 ndiyo utajua tumetoka wapi na tunakwenda wapi leo.
   
Loading...