Nawaulizia hasa hawa wawili. Wa kwanza ni Mkuu CHAI CHUNGU. Huyu ni mwanzilishi wa simulizi za kusisimua na zenye muendelezo. Amepotea sana.
Wa pili ni Mkuu Zahra White. Huyu alijipambanua kama mwanadada wa kileo,mrembo na wa mjini hasa. Mabandiko yake yalitikisa hapa MMU. Naye amepotea sana.
Wakuu jitokezeni. Au mwenye taarifa zao azimwage hapa.