Wako wapi wanaMMU hawa?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Nawaulizia hasa hawa wawili. Wa kwanza ni Mkuu CHAI CHUNGU. Huyu ni mwanzilishi wa simulizi za kusisimua na zenye muendelezo. Amepotea sana.

Wa pili ni Mkuu Zahra White. Huyu alijipambanua kama mwanadada wa kileo,mrembo na wa mjini hasa. Mabandiko yake yalitikisa hapa MMU. Naye amepotea sana.

Wakuu jitokezeni. Au mwenye taarifa zao azimwage hapa.
 
Hutakuta baada ya kuolewa kapumzika.maana wengine wanakuja humu kwa malengo kama Le mutuz
 
Last edited by a moderator:
Watakuwa walipigwa ban za maisha, wakaja na IDs nyingine. Mi mgeni humu ila kutokana na nilivyosoma baadhi ya threads za hivi karibuni, ninafikiri humu mtu 1 anaweza kuwa na IDs kama tatu au nne. Yaani anakuwa na good guy na bad guy personalities.
 
umesahau na nyingine ya kutongozea
 
Wako chumba maalum wametengwa wanahisiwa kuwa na ebola.
 
Mkuu PETRO E.Mselewa
Ahsante kwa kunikumbuka.
Mie nipo mkuu.Ila majukumu ndio mengi.
Bila shaka we mzima na familia yako.
Nisaidie kuniulizia mkuu manoah maana kitambo sana pia!!!!
 
Last edited by a moderator:
Zahara hua ananivunja mbavu sijui ni mtu wa wapiii
 
inawezekana pia unaweza kuwa wewe mwenyewe mtoa mada
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…