Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

Kosae1

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
211
Reaction score
151
Nakumbuka miaka ya mid 80's haya mabasi yalitamba na kutawala sana line ya Rombo Marangu Moshi Arusha na hata Dar. Mwenye kumbukumbu atukumbushe hawa wataalam waliishia wapi. Sababu kwa miaka ya sasa tungetegemea wawe malegend wa kutisha kwenye sector na wangetoa mfano bora wa usafirishaji wa abiria uliotukuka. Kwani nini kiliwasibu matajiri hawa?

1. Rombo Tulia
2. Rombo Tupendane
3. Mrike
4. Rombo Tarakea
5. Rombo investment
6. Beira- Huyu alikuwa na mabasi tofauti kama Bethania, Bethlehem, Nazareth, Galilaya
7. Samanga
8. Kindokyakombe
9. Na list inaendelea......
 
Black Nyau
If you want mambo try
 
Rombo Tupendane na Mrike nadhani yalikuwa ya vyama vya ushirika.
Rombo Tulia yule mzee mwenyewe alifariki siku nyingi na sasa mwanae anayo magariyanayopiga Rombo Dar(nimesahau jina)

Huko yalikuwepo mengi kama :
Rombo Express
Rombo Mwelekeo
Katarimo's
 
Mfahamiko
Shabaha
Mkwema
Chatco
Hatco
Mberesero
Fresh ya Shamba
Royal Sumayi
Air Chalinze
Simba mtoto
Air Shengena
Bembea
Kizota
Tawfiq
Taqwa
Bazzu
Takrim
Tashrif
Hood
Islam
Metro

Hapo nimemix DAR_ ARUSHA mpaka NAIROBI, MOMBASA na TANGA bila kusahau ROMBO.
 
Back
Top Bottom