The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,154
- 22,121
Wamejichagulia bumunda lao, ngoja wapambane nalowote wako mafichoni , isipokuwa lile tahira la kigoma
Haitakua kama walivozoea. Naona hata wabunge wanasoma mchezo kwanza gia zipi za kuanzia......watanzania wamebadilikaGen Z wamejua kuheshimisha nchi jamani tuseme ukweli..
Ni Disemba lkn utadhani hakuna christmas
Hata zile nyimbo za christmass sizisikii kabisaGen Z wamejua kuheshimisha nchi jamani tuseme ukweli..
Ni Disemba lkn utadhani hakuna christmas
GT
Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu.
Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao
Mikwara ya Mwigulu na Nanauka kujifanya wazalendo imeyeyuka ghafula. Sisi tupo uraiani tunawangoja.
Yes. Wanatafuta.gear ya.kuanziaHaitakua kama walivozoea. Naona hata wabunge wanasoma mchezo kwanza gia zipi za kuanzia......watanzania wamebadilika
Hii ni maajabuMachawa wote pyeeeee!
UVCCM kimyaaaaa!
Idara za CCM zote kirnyaaa!
Serikalini kimyaaaa!
Wamemuachia msala Chalamila na Masheikh ubwabwa kila siku kujieleza.
Watu wameusoma mchezo wameamua kukaa kimya!Hii ni maajabu
Mtu mzalendo hapoli uchaguzi kwa maslahi yake,mtu mzalendo hajipqchiki kuwa kiongozi kwa mtutu wa bunduki,mtu mzalendo hawezi kuuwa Zaidi ya raia wake elfu 23 plus,mtu mzalendo hawezi kufukia vijana wazalendo kama kuku waliokufa na kideli,mtu mzalendo hawezi kunyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mtu mzalendo hawezi kufira,kuteka,kubaka,kulawiti na kuuwa,maana ana misingi ya haki katika moyo wake.Huo ndiyo uzalendo
Kisa tu uko kinyume na misimamo yake mitizamo yake basi huyo ni taahira?wote wako mafichoni , isipokuwa lile tahira la kigoma
Yule ni tahira full stopKisa tu uko kinyume na misimamo yake mitizamo yake basi huyo ni taahira?
Kama taahira ndo anakuwa anakubalika kiasi kile na wananchi basi nchi hii matahira ni wachache sanaYule ni tahira full stop
Huyu ni tahira na anakubalika kigoma, sababu wakazi wengi wa kigoma wanauelewa mdogo wa mambo!!!Kama taahira ndo anakuwa anakubalika kiasi kile na wananchi basi nchi hii matahira ni wachache sana