Yuko wapi Kinana?Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Bado hujajibu swali,nimekuuliza Kinana yuko wapi?Hivi mara ya mwisho lini wewe umemuona Mnyika au Mwalim wakitoa matamko ya chama?
JK yuko china, alafu licha ya Mangula na kinana kukaa kimya, ila chama chao ndo kimeshika dola, alafu mangula ni hulka yake, hazungumzagi!...yuko wapi Mangula, wapi kinana, wapi jk,...??
Hivi mangula mmemtupa wapi?au karudi kwao kulima nyanya?Hivi mara ya mwisho lini wewe umemuona Mnyika au Mwalim wakitoa matamko ya chama?
Ina maana ata kuandika tamko wamechoka?maana tuliwazoea kila wiki lazima watoke na tamko.Toka uchaguzi uishe wapo kimya sijui kwa nini.
~~~>>Ukimya wa Mnyika unaleta maswali mengi yasiyo na Majibu..... Ukimya huu umeanza mwaka jana.
~~~>>Hata baada ya kuwa na Katibu bado naona chama hakisikiki tena..... Hapa kuna Changamoto.
Ha ha ha! Yaani umekomaa na swali lako huelewi la askofu wala Sheikh! Subiri watakujibu..Toka uchaguzi uishe wapo kimya sijui kwa nini.
Viongozi na Wabunge wengi nguli wa Chadema ninaointeract nao wanakiri "nje ya kiapo" kuwa Katibu Mkuu mpya ni mzigo mzito. Hii project ya Mbowe inaweza kuishusha Chadema.
Siyo tangu uchaguzi uishe sema tangu wampokee Lowassa.Toka uchaguzi uishe wapo kimya sijui kwa nini.