Wapi Mama, Kuhani, Dilunga, YE, Asha Abdalla, Kyoma, Chuma, YourNameIsmine, Mwafrika wa Kike, Bubu Msema Hovyo, Game Theory, Ole n.k.....
Dah......
Duh, umenikumbusha mbaliii, natamani hata kulia!
Wapi Rev Kishoka? Hata wewe Bala umekuwa mchunguliaji zaidi, yaani kama vile una-beep tu.
Old is GOLD,
mko wapi wakuu,
Wakati najiunga Jeiefu nilidokezwa eti mdau aki'edit through that colour (red) it means , eti ako Nasa!
Kuna ukweli eti?
Wadau, wakati najiunga na JF miaka michache ilopita kulikuwa na nguli wakali humu JF na baadhi walijiunga baadae. Wengi ama hawapo, au huchungulia mara moja moja. Kwa kweli nimewa-miss sana magwiji hao, miongoni mwao ni:
Mwafrika wa kike, Abadan, Mama mia, 50 cents, Dua, Mchukia Fisadi, Kana ka nsungu, Miela, Kibanga ampiga mkoloni, FMES, Mugongomugongo.
Nimsihi Invisible ajaribu kuwafuatilia wanajamvi hawa na kuwafikishia ujumbe kuwa tunawa-miss sana na tunahitaji michango yao humu jamvini.