...Ibrah....Tupo tunapata kuchungulia mara moja moja. Ila siku hizi vijana wanatimua vumbi sana humu. Inabidi mtu mzima ukae pembeni usije fika nyumbani umechafuka.Wadau, wakati najiunga na JF miaka michache ilopita kulikuwa na nguli wakali humu JF na baadhi walijiunga baadae. Wengi ama hawapo, au huchungulia mara moja moja. Kwa kweli nimewa-miss sana magwiji hao, miongoni mwao ni: Mwafrika wa kike, Abadan, Mama mia, 50 cents, Dua, Mchukia Fisadi, Kana ka nsungu, Miela, Kibanga ampiga mkoloni, FMES, Mugongomugongo. Nimsihi Invisible ajaribu kuwafuatilia wanajamvi hawa na kuwafikishia ujumbe kuwa tunawa-miss sana na tunahitaji michango yao humu jamvini.
...Ibrah....Tupo tunapata kuchungulia mara moja moja. Ila siku hizi vijana wanatimua vumbi sana humu. Inabidi mtu mzima ukae pembeni usije fika nyumbani umechafuka.
...Pengine mijadala iliyo na ustaarabu wa kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya wengine imepungua na matusi yamezidi. Ndio maana hoja nzito za kipindi kile zimeadimika.
...Hoa ndugu wameadimika sana.Nilikusahau nguli mwenzagu Dar si lamu, karibu tuwape vijana maadili. Wako wapi wenzako kina Mwiba, Kibunango na Mtu wa pwani?
Wewe ni mmoja ya watu niliovutiwa nao kipindi najiunga hapa jf. Busara zenu zinahitajika si vizuri kututelekeza!...Ibrah....Tupo tunapata kuchungulia mara moja moja. Ila siku hizi vijana wanatimua vumbi sana humu. Inabidi mtu mzima ukae pembeni usije fika nyumbani umechafuka.
...Pengine mijadala iliyo na ustaarabu wa kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya wengine imepungua na matusi yamezidi. Ndio maana hoja nzito za kipindi kile zimeadimika.
Wangine labda wametangulia mbele za haq
Wangine labda wametangulia mbele za haq
pheeeeewWapi Kada Mpinzani?
Labda wamebadili ID
...Ibrah....Tupo tunapata kuchungulia mara moja moja. Ila siku hizi vijana wanatimua vumbi sana humu. Inabidi mtu mzima ukae pembeni usije fika nyumbani umechafuka.
...Pengine mijadala iliyo na ustaarabu wa kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya wengine imepungua na matusi yamezidi. Ndio maana hoja nzito za kipindi kile zimeadimika.
Mzee Mwanakijiji na wakongwe wenzio wote wa JF ilipoanzishwa na toka mlivyokuwa tanzatl.org twawaomba mrudi