29 haikumuacha mtu salama na bado watazidi kupotea zaidMungu hadhihakiwi!
Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni
Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa anayekera sana.. Hasikiki tena sasa!
Tony Kapola na muujiza wa kujaza mtungi wa gesi kimiujiza..muujiza huo aliusema mkewe na kuzua gumzo kubwa mitandaoni!.. Wawili hawa badala ya kutubu na kuwa wanyenyekevu wakaanza kejeli kashfa na dharau kwa kila aliyejaribu kuhoji muujiza wa gesi.. Baada ya tukio hilo walipotea na hawakutrend tena
Hananja
Mchungaji mlamba midomo aliyekuwa anatrend sana mitandaoni kutokana na style yake ya kuhubiri
Karibia na uchaguzi mkuu akaamua kuwa upande wa dhuluma na kuwananga watanganyika kwa vijembe na kelele.. Huo ulikuwa mwisho wake wa kutrend!!.
Je wanaweza kujifananisha enzi zao na sasa!?
kweli kabisaOctober 29 imebadilisha vitu vingi sana 🙌🏾
Hananja teja alifurushwa na Lutheran ya wazo kwa kuwa naye ni teja ...... Tupo naye HUKU madale kontena anabung'aa tu hana jipya.
Hadi Jumba lile lililokuwa makazi ya kudumu ya Mtu Yule, limegeuka kuwa nyumba ya kufikia wakati wa shughuli maalum.October 29 imebadilisha vitu vingi sana 🙌🏾
aposto kuna muujiza huku!Hii miradi ya watu binafsi kwa kivuli cha Kanisa huwa haifiki mbali. Hata Aposto ni swala la muda kabla hajatokomea kama moshi angani.
upande huo yapo majumba mawili, we unazungumzia jumba la wapi?Hadi Jumba lile lililokuwa makazi ya kudumu ya Mtu Yule, limegeuka kuwa nyumba ya kufikia wakati wa shughuli maalum.
Nini kimetokea?aposto kuna muujiza huku!
Ya kweli haya au ndio vile hua mnajidunga wote hizo heroine na cocaine yeye na wewe?Hananja teja alifurushwa na Lutheran ya wazo kwa kuwa naye ni teja ...... Tupo naye HUKU madale kontena anabung'aa tu hana jipya.
Huyo mpaka aje mtu mwingine kwa sasa amejiweka matakoni kwa watu fulani fulaniHata Aposto ni swala la muda kabla hajatokomea kama moshi angani.
kuna mtu kanya nyoka!Nini kimetokea?