Wako wapi hawa

Walikimbilia Uganda enzi ya Jiwe! Sasa wamesikia mshikaji wao VascoDagama ameshika hatamu na Amos Makalla ndio mkuu wa mkoa wa DSM wameanza kurudi mmoja mmoja. Wapo mjini wanabarizi!
 
Mkuu kama mtu anaweza ku survive Bongo, Uganda, South Africa mpaka America huyo mtu iko akili mu kichwa aisee
 
Wameamua kula kimya kimya,,, baada ya kuona binadamu hawana shukrani
 
kipindi icho kila kona ya Dar inawaka moto,Kijiji cha Makumbusho moto wa Ngwasuma,Mango Garden moto wa Twanga,Ilala kuna moto wa Msondo ya mzee Gurumo,American chips Kinondoni foleni ya kiepe.
Amakweli zama hazirudi nyuma.
 
Huyo si boss wa tp mazembe mkuu kama ni huyo bado yupo vizuri
Mzamiri Katunzi na TP Mazembe wapi na wapi? Mzamiri yupo Mbezi Beach kajifungia pengine atatoka sasa mjomba wao wa Msoga ameshika nchi!
 
Kila zama na kurasa zake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…