Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Oct 10, 2011 #1 Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa, maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa, maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Oct 10, 2011 #2 Uchunguzi unaendelea
U Uwezo Tunao JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 6,942 Reaction score 1,201 Oct 10, 2011 #3 Hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti?? MOD, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana.
Hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti?? MOD, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Oct 10, 2011 #4 Wamesharudi kwao.na maela kibao
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Oct 10, 2011 #5 uwezo tunao said: hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti?? Mod, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana. Click to expand... teheeeeee aseeee kumbe inabidi upige supu eeh
uwezo tunao said: hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti?? Mod, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana. Click to expand... teheeeeee aseeee kumbe inabidi upige supu eeh
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Oct 10, 2011 #6 Unataka wakupe knowledge?
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Oct 10, 2011 #7 flora msoffe said: teheeeeee aseeee kumbe inabidi upige supu eeh Click to expand... kipi kimekuchekesha hapo?. Unaweza ukawa chizi bila ya kujitambua.
flora msoffe said: teheeeeee aseeee kumbe inabidi upige supu eeh Click to expand... kipi kimekuchekesha hapo?. Unaweza ukawa chizi bila ya kujitambua.