King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,685 Reaction score 94,629 Jan 10, 2014 #1 Umofia kwenu wana JF, Kuna watangazaji zaidi ya mie2 sijawasikia kwa hewa sijui wako wapi hawa?? 1.Suleiman Semunyu 2.Wasiwasi Mwabulambo.
Umofia kwenu wana JF, Kuna watangazaji zaidi ya mie2 sijawasikia kwa hewa sijui wako wapi hawa?? 1.Suleiman Semunyu 2.Wasiwasi Mwabulambo.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Jan 10, 2014 #2 wasiwasi nasikia yupo azam tv....
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,685 Reaction score 94,629 Jan 10, 2014 Thread starter #3 kabanga said: wasiwasi nasikia yupo azam tv.... Click to expand... Hongera zake mwabulambo ukiona watu wanakimbia sehemu wanazofanya kazi basi ujue umate umate unaenda hali jojo.
kabanga said: wasiwasi nasikia yupo azam tv.... Click to expand... Hongera zake mwabulambo ukiona watu wanakimbia sehemu wanazofanya kazi basi ujue umate umate unaenda hali jojo.