Wako wapi hawa wasanii?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,033
64,844
Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata

Na pia ningependa kujua hawa wasanii wa kiume wametokomea wapi?

6. Mike T (Mnyalu)
7. Stan Boy (East Coast Team)
8. Rado
9. Steve RnB
10. Chindo Man

Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.
 
Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Stan Boy (East Coast Team)
5. Steve RnB
6. Mike T (Mnyalu)
7. Paulin Zongo
8. Rado
9. Grace Matata
10. Chindo Man

Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.
mnyalu yupo na biashara ya nguo
 
Jamani, Mjumbe kauliza swali pamoja na swali la nyongeza. Sasa swali huwa ndio linabeba title na swali la nyongeza huwa linaingia kwenye Any other Business (A.O.B)...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom