Wako wapi hawa wasanii wa Bongo Flavour?

Wako wapi hawa wasanii wa Bongo Flavour?

Sista P alikuwa tough sana katika michano yake. I used to like how she could spit. Achana nao ililuwa hit sana.

Vp kuhusu hawa wasanii wengine wa Bongo flavour?

AB Skillz - Mimi na Wewe ft Mr.Blu
Bablee - Kizizi, Mapenzi vionjo, Chagua Moja
K Sal - Mkiwa ft Ferooz
Man X - Nimechezea Bahati ft Dullysykes
Picco - Binti Kikongwe
Fagio La Chuma - Fagio La Chuma
 
Nitakufaje By King Crazy GK featuring Paulina Zongo.
Chorus
Ooooohh!! Oooooooohh!!
Nitakufaje!! {GK}
Aaaaaaahhh!! Aaaaaaaaahhh!!
Nitakufaje!!
 
Anakujaa, Anakujaa!! Sister P
Anakujaa, Anakujaa!! Sister P

Another song feat Ally Choki
Wanachonga sana juu yangu!
Achana nao!!
Wanataka nimkosee Mungu
Achana nao!!
Wanapaka tope jina langu,
Achana nao!!

Ally Choki
Wenye chuki binafsi usiwafatee..
 
Mie nilikua sijaja mjini labda, maana ata siwajui ati.
 
Hawa nao wako wapi?

So nel - posta..na hii bwana,kila mtu ukimuuliza,anakwenda posta..posta..posta,city center.

Mabaga fresh..tunataabika,tunasulubika..mabaga fresh tumepigika..

Uswahilini matola - kosa la marehem..hakuvaa kondom.
 
Back
Top Bottom