BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Maakamanda!..makamanda boongo!,..makamanda ni Korea ya Kaskazini bhana..
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?
Kuna na yule wa kifo cha mwamunyange nae ni miongoni,Acha mama, tumuombee , aliko hata wanaume ni wanawake.
Third nyingine ni za kinafki
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Duh! Leo mnamkana babu wa mabadiliko.
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Kamanda tusaidie kujua hali ya mabereKimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?