Wako wapi akina p didy na the bold?

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Ni siku nyingi sana zimepita hatujaona taarifa za na comment za watu hawa kama P didy, pamoja nae The Bold watu ambao walikuwa wakitupatia updates za matukio hususani ya fumanizi na watu kuchukuliana wake na habari nyingine kemkem.

Vipi tena wamepotelea wapi?
 
mb8. Kujakwamanati mpwawangu embu pigeni kampeni kwelii mb 8. Sa kutongoza ama maanahata ukimyongoza miss c xx zinakata mpakaakukubaliiiiweraaaweraaaaangojaniende chuo kuongezea buku namiatano wapikpik ya bk 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…