Wakizubaa tu CHADEMA haifiki 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakizubaa tu CHADEMA haifiki 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Peter Fabian, Jul 22, 2011.

 1. P

  Peter Fabian Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndio mguso wa fikra zangu kwa leo!kiukweli ni chama pekee ambacho kwa sasa kimeonyesha kupendwa na wananchi wengi hasa hasa vijana na hii ni kwa sababu ya ujasiri na uwazi wa viongozi wake ambao waliamua kuyatoa maisha yao kwa ajili yawatanzania,walizika wazi kashfa zote nzito walizofanikiwa kuzijua kwa hoja zenye msingi imara,wasiwasi wangu ni juu ya kushuka kwa umaarufu wa chama hicho,ndiyo chama hichi cha vidole viwili,umaarufu wake si mkubwa sana kwa sasa kulinganisha na kipindi kile alichokuwepo Dr.Claa ndani ya mjengo,pia moto wao ndani ya bunge si mkali sana kama zamani walivyokuwa wachache,pia hata nafasi aliyo nayo Mboy kama kiongozi wa upande wa pili hajaweza kuitendea haki na furungu baina yao na kupigana pia kunanipa mashaka kuwa kwasasa ndani ya chama cha vidole viwili wameingia mamluki ambao mi wananipa ujasiri wakusema kinaweza kisifike 2015 ingawa ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania wengi katika nyanja zote,jamani ukitaka inzi wasikufuate sharti utupe mzoga,mnahaja ya kujitanzama marambili mkitaka kufika 2015 kwa amani kama ilivyokuwa 2010
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  what doesnt killyou makes stronger,..cdm will stand the test of time
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Hustahili si tu kuwa jeshini bali hata uongozi utakushinda,matatizo ni sehemu ya maisha popote pale na ni kipimo kizuri cha uwezo wa mtu...never give up,there is always hope!!!CDM ipo na ipo ili kushinda,peeepoooooooooooooooooooooooooooooo...
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mchango huu wa kizembe ama mada mfu hii inalisaidia nini Taifa leo halina umeme na matatizo kibao ? Tuache kweli kujadili mda za maan turudi hapa ? Jamani hebuh tuwe makini na uanzishwaji wa mada .
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Well said........
   
 6. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jipeni moyo
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Join Date : 18th July 2011

  Posts : 57
  Rep Power : 21
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wacha kuandika pumba dogo unaandika ili uonekane na ww umepost uzi
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Inscrutable..
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi haya matatizo yaliyoko CHADEMA unaweza kuthubutu kuyafananisha na yaliyoko CCM kwanini hujasema...wazubaa tu CCM haifiki mwezi wa nane...
   
Loading...