Wakitumaliza sisi wataanza wao.😱

Wakitumaliza sisi wataanza wao.😱

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,136
Reaction score
33,541
Eti mnaanza kuwa na mashaka sasa kwamba ambao wamejitenga nao ndio wanahusika.

Sasa kama wamejitenga mnajiogopa na kuanza kuwafata majumbani.

Mnapoelekea naona mnara wa babeli ukifika mwisho.
 
Acha wamalizane.

2 Nyakati 20:20-23
20 Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa. 21 Naye alipokwisha kufanya shauri na watu, akawaweka wale watakaomwimbia BWANA, na kumsifu katika uzuri wa utakatifu, wakitoka mbele ya jeshi, na kusema, Mshukuruni BWANA; kwa maana fadhili zake ni za milele. 22 Nao walipoanza kuimba na kusifu, BWANA akaweka waviziao juu ya Waamoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, waliokuja kushambulia Yuda; nao wakapigwa. 23Kwani wana wa Amoni na wa Moabu waliwashambulia wenyeji wa mlima Seiri kuwaulia mbali na kuwaharibu; nao walipokwisha kuwakomesha hao wakaao Seiri, wakaanza kuuana wao kwa wao.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom