Wakipiga mkiani wao wanapiga kichwani

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,282
Reaction score
11,553
Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba jiudhuru
 
ok.🐒
 
JF sio Facebook mkuu,
Umeleta mada, elezea walau kiasi cha kueleweka na kila mtu, ambatanisha picha au video ikiwezekana.Kisha watu tujadili.

Hiyo umeandika ni kama text message

NB: No hard feelings
 
Imagine anatumbuliwa kisa connection. Haina comeback hiyo.

Rais mwenye connection nani atampa kura?
Hii vita ni kali.
 
Ni mambo ya trend kati ya wanaharakati na wanapendwa mchana huu imekuja moja tu imeshusha zile zote zilizotamba mpaka jana usiku yetu macho swali je hii siyo sawa na ile katibu ilimkuta akaomba jiudhuru
Anza kichwani, hata nyoka ukimponda kichwa anakufa.
 
JF sio Facebook mkuu,
Umeleta mada, elezea walau kiasi cha kueleweka na kila mtu, ambatanisha picha au video ikiwezekana.Kisha watu tujadili.

Hiyo umeandika ni kama text message

NB: No hard feelings

JF sio Facebook mkuu,
Umeleta mada, elezea walau kiasi cha kueleweka na kila mtu, ambatanisha picha au video ikiwezekana.Kisha watu tujadili.

Hiyo umeandika ni kama text message

NB: No hard feelings
Yani wewe wa kujoing JF 2018 uniambir kuhusu JF ebu tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…