Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,418
Ukiambiwa mti unachukua miaka 15 mfano utakubali kutupa pesa zako kwa ajili kupanda miti.
waliopanda au kupandiwa na wazazi wao ndio wamekuja kuvuna miti na leo tunaona wakiingia mijini na kufika nyumba bei.
Biashara ya miti sio ya kutegemea leo wala kesho inataka uvumilivu au kumewekea mwanao ajekufaidika nayo.
Miti ilifikia kiwango kizuri kama ya kutengenezea fenicha za majumbani inachukua mda mrefu sana na inabei kubwa ukilinganisha hii inayochukua mda mfupi.