Wakinamama tujifunze kuwalea watoto wa kiume

Wakinamama tujifunze kuwalea watoto wa kiume

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
1,310
Reaction score
1,633
Nimeshangazwa sana na jinsi hawa wakinamama vijana wa kidigitali wa Jijini Dar es salaam wanavyowalea watoto wao wa kiume.

Toto linadekezwa yaani hata mtoto wa kike sio hivyo, toto linapakwa mpaka wanja na lip balm, halafu hapo mama yake ndio anaona mtoto wa kisasa kapendeza, anamfungulia kabisa na account insta anaanza kupost picha zake.

Hivi mtoto kama huyu akikua akiwa shoga utamlaumu nani?

Wakina mama hasa ambao bado mna ujana acheni kuwalea watoto hivi, ndio maana watu wa mkoani watazidi kuwadharau wanaume wa Dar.
 
Unamfungulia mtoto account ya inst na kumpa ustar mapema,je kama akiwa hapendi kuwa star pale atakapojitambua?
 
Heisenberg blue meth,
Mtoto wa kiume ukitaka kumlea lazima mama awe na displine. Mtoto wa kiume akiona mama anakazwa na mtu asiye baba yake, hapo ndipo mwisho wa mama kuweza kumkemea mtoto maana anamdharau mama yake. Hivyo mtu kama uwoya hawezi kulea! Yeye mwenyewe alikiri kuwa alipoanza kudinyana na dogo janja mama yake alimchukua mtoto akakaa naye, lakini alijua nini kinaendelea
 
Nashukuru Mungu sina maisha ya maigizo na maonyesho. Mungu anisaidie niwalee wanangu ktk njia ipasayo.
Na Mungu akujaalie mkuu....
Watu wengi tuna kwama sana, hasa linapo kuja swala la malezi ya watoto.
Mtoto halelewi kwa sanaa, wala maigizo. Mtoto anapaswa alelewe kwa maadili mema, nidhamu na tabia njema. Mtoto hapaswi kulelewa kidigitali, zaidi ya uhalisia wa wakati husika.
 
Back
Top Bottom