jabulani jabulani
Member
- Jul 30, 2019
- 69
- 32
KWA NINI WAKINADADA WAREMBO HAWAOLEKI?? HAWANA WAUME??
hili swali nimekua nikijiuliza Sana sipati majibu Kwani nini Hawa dada zetu wanaojidai wanasura Nzuri kushinda wenzao au wanashepu Nzuri huwa hawaolewi utakuta msela ni handsome Sana na ameshawachapa Mikwaju Sana hawa maslay Queen mjini auto vyuoni lakini anafall in love Kwa mwanamke wa kawaida
Refaring cases ::Ben kinyaiya vs Mpenzi wake .
wengine utawataja wewe
Hawa warembo huwa ni lazi Sana kupata waume WA kuwaoa wengi wao wanaishia kuchezewaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata ukamilifu WA rahari wakija kushituka Namba zimepaaaa kiasi kwamba anakaribia kuiywa Bibi BILA wajukuuuu aiseeeeeeee.
Wengi wao hawana Sifa Za u-wife material Sijui ni kwa nini .????!.
wengi wao wanajikuta wamemaliza dunia huku wakifikisha 30s au hata 40s BILA kupata Jiko Sasa Riding huku uswahilini KWETU Kila kukicha akina mwajuma NDALA ndefu Ndio wanaolewa MA kuondoka nyumbani kuanza masiha mapya ya Ndoa.
WAKINA DADA WAREMBO MNAKWAMA WAPI??? MJINI FLYING OVERS MPAKA MLANGONI???