DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,816
- 30,492
Mkuu tuaminishe..hata kwa utanitupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
Nipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.
Kizazi hiko cha wasichana kilitoweka kwa kuzama na kufa maji kipindi cha gharika, wao waligoma kupanda Safina ya Nabii NuhuMSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
Hivi wasichana/wanawake Kama Hawa Bado Wapo huko mtaani kwenu??kama wapo hata 10 nakuja kuoa wote
Watu kama wewe mnatafutwa kwa torch.tupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
Nimekupenda bure,leo umejibu kama sio wewetupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
ahahaaa pole mimi wala sipendi hela ya mtu sijui kwaniniNipo.
Ila sio kwamba napenda, ila ni kwa sababu nataka kuonekana wife material.
Ila naamini bado wapo, sema kuwatambua ni mtihani toshaKizazi hiko cha wasichana kilitoweka kwa kuzama na kufa maji kipindi cha gharika, wao waligoma kupanda Safina ya Nabii Nuhu
wala wanaume hata uwe mwema vipi hawaridhiki mimi naishi maisha yangu mkuuWatu kama wewe mnatafutwa kwa torch.
Mmmmmmh siku hizi wachache sana akikukosa kwenye hela ya saloon jiandae na smart phone. Akikosa kwenye simu jiandae na viatu nguo na hand bag za kisasa.tupo ambao hata hyo kumi na tano hatuchukui.nywele zangu mwenyewe hela ya saluni atoe mwingine ni akili au matope?
labda mnadate vishichana vya chuoMmmmmmh siku hizi wachache sana akikukosa kwenye hela ya saloon jiandae na smart phone. Akikosa kwenye simu jiandae na viatu nguo na hand bag za kisasa.