ipatama
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 348
- 228
Kuna tabia moja mbaya sana akina dada mnaifanya, huwa mnapenda sana kututoa kofia tunazovaa kichwani (hasa kapelo) alafu mnaanza kukimbia nayo ili uonekane upo romantic, just imagine mi nikakutoa hilo wigi lako nianze kukimbia nalo utafurahi?
Fanyeni kile mnachopenda kufanyiwa na nyie
Fanyeni kile mnachopenda kufanyiwa na nyie