Kumbe ndo maana siku hizi kuolewa ni majaaliwa,Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.
Usione watu wamenga tai asubuhi wanawahi kazini, kuna wengine wametoka kula makofi fresh mapema asubuhi.Kumbe ndo maana siku hizi kuolewa ni majaaliwa,
wanaume wanaogopa kupigwa?
asante kwa kunifahamisha nilikuwa sipati majibu.
wateja wa madada poa wanaongezeka wakati wadada wazuri wapo.
kumbe leo nimejua sababu.
Labda kama ni kimada,mke wako unashindwa hata kumvizia amelalaWifi inaelekea anapiga exercise na yuko fit.
HaaaahaaaHahahaaa zamu Yenu..tumechoka kupigwa sasa hivi Ni mwendo karet Tu hadi mnyooke naona nafasi ya uanaume imewashinda hahaahaaa
Ukimaliza tunakukuta jf unalalama kwamba Mr. siku hizi hasimamishi.Hahahaaa zamu Yenu..tumechoka kupigwa sasa hivi Ni mwendo karet Tu hadi mnyooke naona nafasi ya uanaume imewashinda hahaahaaa
Mpaka hapo ni kuwa unamwogopa. Kabiliana nae akiwa mzima na fahamu zake, hama nyumba unamwambia si rudi mpaka uache kunipiga.Labda kama ni kimada,mke wako unashindwa hata kumvizia amelala
ukamfunga kitandani ukamtandika walau fimbo tano,akilipa kisasi next time ukimfunga humfungui
unamwagiza msichana wa kazi amfungue baada ya wewe kwenda kazini.
Uzi wako huu unazidi kuwatisha mamachela.Usione watu wamenga tai asubuhi wanawahi kazini, kuna wengine wametoka kula makofi fresh mapema asubuhi.
Sasa unadhani simba angekabiliana na nyati kizembe angekula nyama?Mpaka hapo ni kuwa unamwogopa. Kabiliana nae akiwa mzima na fahamu zake, hama nyumba unamwambia si rudi mpaka uache kunipiga.
Walahi kama wewe ni mume wangu umenifanyia hivyo sitalala usingizi wa kutulia.Sasa unadhani simba angekabiliana na nyati kizembe angekula nyama?
zama za kupigana vita ya kutembea kwa miguu zimepitwa na wakati
hizi ni zama za sayansi na teke linalokujia.
Hahahahaa... Bwege hao..!! Mungu mwenyewe alisema mwanamme kichwa cha familia sasa inakuaje anashindwa kumcontrol mwanamke wake..!!! Wanaume acheni kutiana aibu katika jamii
Wewe unatuponza hapaKwakweli wanaume fungukeni na hili swala liwekwe wazi, hapa si mna ID fake, hamtakula makofi nyumbani.
Ndo maana nikasema mimi ni mwanaume,vita ya mabavuWalahi kama wewe ni mume wangu umenifanyia hivyo sitalala usingizi wa kutulia.
Hahahahaaaaa mimi wife wangu hana uwezo wa kunipiga na cjawah kumpigaKwahiyo unakufa na tai shingoni, ndio nyinyi mkipigiwa simu na wife kabla hujapokea mikono inatetemeka, tunafikiri ni limbwata kumbe ni vibao na makonde nyumbani.