Wakimbizi Wa Kizanzibari Somalia Walalamika.

Safari ya Uingereza ndio ukaianzie Mogadishu basi!?

Sasa na wakishafika uko UK, wanasema kuwa ni Wasomali au...!?

kaka,kama hutaki kuniamini sikulazimishi,we subiri ushahidi lakini ukweli ndio huo,wazanzibar wote waliopo hapa UK wamejilipua kama wakimbizi kutoka somalia mji mmoja unaitwa kismayu,wenye bahati walikuja na wake/waume na watoto wao,wasio na zali ndio hivyo ndg zao wengi wapo somalia wakisubiria safari,tena wengi huko somalia wanajishughulisha na uvuvi.
yupo jamaa yangu mmoja ni mzanzibar amejiripua hapa na ana sheria,tatizo lake ni kuwa alikuja peke yake na kumwacha mkewe zanzibar ila amemwandikisha kuwa yupo somalia,jamaa keshaliwa sana hapo dar ili mkewe asafiri kwa kuwa hawezi kusafiri na pasport ya kibongo kuja huku wakati mmewe amemwandika kuwa ni msomali na yupo somalia.hivyo hii issue naijua saaaana mkulu
 
wazanzibar wote hapa UK pasport zao zimeandikwa wamezaliwa kismayu(somalia),hata maalim seif anajua sana suala hilo kwani mara nyingi akifika hapa london lazima akutane nao kwenye barza lao pale manor park a.ka. kwa sadi
 
kaka,kama hutaki kuniamini sikulazimishi,we subiri ushahidi lakini ukweli ndio huo,wazanzibar wote waliopo hapa UK wamejilipua kama wakimbizi kutoka somalia mji mmoja unaitwa kismayu,wenye bahati walikuja na wake/waume na watoto wao,wasio na zali ndio hivyo ndg zao wengi wapo somalia wakisubiria safari,tena wengi huko somalia wanajishughulisha na uvuvi.
yupo jamaa yangu mmoja ni mzanzibar amejiripua hapa na ana sheria,tatizo lake ni kuwa alikuja peke yake na kumwacha mkewe zanzibar ila amemwandikisha kuwa yupo somalia,jamaa keshaliwa sana hapo dar ili mkewe asafiri kwa kuwa hawezi kusafiri na pasport ya kibongo kuja huku wakati mmewe amemwandika kuwa ni msomali na yupo somalia.hivyo hii issue naijua saaaana mkulu
Sasa ni Kismayu au Mogaadishu!? Maana hawa walioko uku Somalia wapo Mogadishu na si Kismayu.

Anyway inawezekana labda na wewe umo kwenye kundi ilo ilo la walio jilipua... Ndio maana unayajuwa hao.
 
kismayu ni sehemu kwenye machafuko(vita),hivyo wao wanasema wanatokea huko na mogadishu ndio kwenye makambi ya wakimbizi,makambi ya wakimbizi hayawezi kuwekwa kwenye mji wenye mapigano.
inaonekana wewe ni mpemba ndio maana roho inakuuma,kwa taharifa yako mi nimenunua karatasi kwa wapemba hao hao waliojilipua na muda huu namiliki kitabu chekundu na changu cha bongo nnacho ,mambo ya timing tu,kwi kwi kwi kwi
 
Sasa kaka roho iniume kwa kitu gani haswa..!? kwani Mpemba si binadamu?

Ongera kwa kuwa na uraiya wa nchi mbili!
 
Duh!!!Mtu anakimbia Zenji anaenda Mogadishu!!Wakati Wasomali wanakimbia Mogadishu wanaenda Canada,Uk na Saudi Arabia!!Hii ni kaaaaazi kwelikweli.
 
Duh!!Mtu anakimbia Zenji anaenda Mogadishu!! Wakati Wasomali wanakimbia Mogadishu wanenda Canada,UK na Saudi Arabia!!Hii ni kaaazi kwelikwel.
 
Hujaeleza tatizo ni nini hasa la kutorudi Zenj. Hizo kauli za JK na Masha (kama walizisema anyway) zilikuwa zinalenga wakimbizi wa Zenj huko Mogadishu? Hiyo hatma unayodai kuisubiri 2010 ni hatma ya nini (CCM au hao wakimbizi?).

Buchanan,

Mbona tunarukia hilo la kuomba kurudi kabla vya kujiuliza walikwendaje huko ukimbizini? Bila shaka unajua walikimbia nini!!!! Sasa unataka waombe kurudi kwani ni kipi kilichobadirika? CCM hiyo iliyowaua wapemba na wengine ikawazamisha baharini ndio bado iko madarakani. Unataka hawa watu warudi halafu iweje? Tueleze!!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom