Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo inathamini wageni kuliko wazawa.Sijui kwa nini watanzania tunaendekeza huu upuuzi? Hizi sifa za "watanzania wema, watanzania wana upendo" ndio zimetufikisha hapa. Haki zetu zinachukuliwa na wageni tunabaki kutazama na kulia, hatujui kudai haki zetu by any means necessary.
nawakilisha.