Nivea wanaume kuwa na boxer zenye rangi tofauti na nyeupe siyo kwamba ni uchafu bali huwa hawana uchaguzi wa rangi kwa nguo za ndani na siyo kweli ukikutana na mume au mpenzi mchafu basi na wewe ni mchafu hakuna aliyemkamilifu MUNGU kaumba watu tofauti kitabia na kimaumbile ili wasaidiane na ukamilifu wao utimie si haki kumkimbia mtu wa namna hii bali kumsaidia hii inafanana na somo katika biblia JE JIRANI YANGU NI NANI? cc@Lady furaha
erickc52 njoo upate wosia halafu
Bishanga na
manoah nawaangalia tu usafi muhimu la sivyo mtaondoka kwa nyumba.