KISUTU, DAR: Kesi dhidi ya JamiiForums inayohusiana na Kampuni ya Oilcom na Uchakachuaji Mafuta imesogezwa mbele kupisha Jamhuri kufanya marekebisho ya Mashtaka kwa mara nyingine. Kesi hiyo sasa itatajwa tena Septemba 26, 2017. Ieleweke, hii itakuwa ni mara ya 3 kwa kesi hii kufanyiwa...