Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Ma CCM mtajaza sana takataka kwenye huu uzi. Haya jibu swali kwa hoja, je! Wakili Mwabukusi ni pandikizi?Umeandika upumbavu usimfananishe wakili na wale wajinga wa chadema
Wakili mdini tu. Mbona hapingi MOU Kati ya kanisa na Serekali?Umeandika upumbavu usimfananishe wakili na wale wajinga wa chadema
Mwabukusi sio pandikizi ila ni mkweli kabisa. Na hata, mm nauona huo ukweli wa Advocate Mwabukusi. Kama huna uwezo mzuri wa kufikiria hauwezi kuuona huo ukweli. Vyama vya siasa hapa Tanzania vinajua, ukweli kabisa kuwa, haviwez kuiondoa CCM madarakani. Kwa sababu, katiba ya Tanzania hairuhusu hivyo.Kwa hiyo ambacho wameamua ni kijifanya wanawatetea, watanzania ili angalau wapate ruzuku wale wafulai. Wapate mkate kidogo wa ubunge lakin sio kuiondoa CCM madarakani. Na juzi wameamua kujifanya kuna maridhiano, wamepewa mabilion ya mapesa, ndio maana Mbowe ametepeta kabisa. Mwabukusi anataka, mapambano ya kweli ya katiba mpya ili kuiondoa kabisa CCM.Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.
MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.
PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.
Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.
Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.
Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.
Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Una tatizo la ujuaji usiokuwa na maana.Fala mmoja tu, toka lini konda akaunga unga hadi kuwa mwanasheria.
Ana audience yake ya ku-support upuuzi wake na kuwalia hela. zake.
Shida kwa taifa inakuja kwa mapoyoyo kama huyu wasioelewa mantiki ya IGA, halafu mnwapa majukwaa ya kupotosha na kuwapa muda kuchezea court hours.
Sidhani kama mnaelewa ni kwa kiasi mnavyo ji expose uelewa wenye ulivyo flinyu kwenye contract law.
Tanzania aiwezi shinda kesi ya mikataba kwenye mahakama za usuluhishi uelewa wa maswala ya sheria kwenye hiyo nchi ni mdogo sana.
Ndio ukweli wenyewe
...the reverse is the truth. CHADEMA ndio walioparamia na kupora sakata la Bandari kama muunganisho wa kampeni yao ya 255 ambayo lilikuwa inabuma taratibu.Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari
Ninachojuwa ni kwamba MWABUKUSI alipewa Tsh 400 Millioni na wenye masilahi na TICTS ili aipinge DP WORLD isiingie mkataba na Tanzania. Ndipo kajifanya mzalendo wa kutaka Tanganyika na Katiba Mpya.Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.
MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.
PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.
Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.
Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.
Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.
Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.
Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Kuingia kwenye page yake ya twitter na kuandika hiki ulichoandika hapa, mpaka yeye kuamua kuku block immediately kuna maana nyingi.Ninachojuwa ni kwamba MWABUKUSI alipewa Tsh 400 Millioni na wenye masilahi na TICTS ili aipinge DP WORLD isiingie mkataba na Tanzania. Ndipo kajifanya mzalendo wa kutaka Tanganyika na Katiba Mpya.
Akaweza kuungana na Dr Slaa na Mdude_Nyagali ili kuipa presha Serikali.
Niliingia kwenye page yake ya Twitter nikaandika hii taarifa, akani BLOCK immediately
Kwa nini ni Mtikila Pekee??Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.
Waambie JF wani BLOCK basi!! Yeye alipaswa anijibu kwenye page yake nimtolee ushahidi, ajabu kwa mnayemwita "Wakili" akasahau misingi ya sheria ya right to be heard akaniondolea haki yangu ya kusikilizwa.Kuingia kwenye page yake ya twitter na kuandika hiki ulichoandika hapa mpaka kuamua kuku block immediately kuna maana nyingi.
Kubwa kabisa itakuwa aliona umeandika ujinga, kama unajiona hukumuandikia ujinga, hebu tuwekee hapa ushahidi wako unaoonesha Adv. Mwabukusi alipokea kiasi hicho cha pesa toka kwa hao uliowataja.
Vinginevyo unastahili kuwa blocked hata hapa JF, hili sio jukwaa la kupiga ramli chonganishi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ameshavuliwa uwakili.Umeandika upumbavu usimfananishe wakili na wale wajinga wa chadema