CUF Habari JF-Expert Member Dec 12, 2019 239 234 Aug 21, 2020 #1 HABARI: Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia CUF, wakili mashaka Ngole amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo.
HABARI: Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia CUF, wakili mashaka Ngole amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo.
guwe_la_manga JF-Expert Member Oct 20, 2019 2,820 2,755 Aug 21, 2020 #2 Samahani hivi Mhe Bobani ameshachukua fomu?
TASLIMA JF-Expert Member Jul 23, 2019 3,014 3,573 Aug 21, 2020 #3 All the best Counsel, kweli maisha safari.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,839 93,626 Aug 21, 2020 #4 Huyu ametumwa na CCM kugawa kura za wapinzani
N ngebe JF-Expert Member Jun 8, 2020 1,789 5,105 Aug 21, 2020 #5 CUF kwa bara sidhani kama mtapata kiti hata kimoja
K kibokoni JF-Expert Member May 3, 2020 205 307 Aug 21, 2020 #6 ngolani said: CUF kwa bara sidhani kama mtapata kiti hata kimoja Click to expand... Kule visiwani hata kura 10 hawapati
ngolani said: CUF kwa bara sidhani kama mtapata kiti hata kimoja Click to expand... Kule visiwani hata kura 10 hawapati
N ngebe JF-Expert Member Jun 8, 2020 1,789 5,105 Aug 21, 2020 #7 kibokoni said: Kule visiwani hata kura 10 hawapati Click to expand... walimuendekeza Lipumba sasa watavuna walichopanda
kibokoni said: Kule visiwani hata kura 10 hawapati Click to expand... walimuendekeza Lipumba sasa watavuna walichopanda