Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Self gratiffication at the expense of colleagues' self esteem? NO!
Why do you care so much about them being called wakili msomi, as I said earlier I would careless how they like to be addressed.
Waite wanavyopenda nao wajidai.
 
Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao. Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?

Alikomaa na Dr. Mary Nagu, Dr. Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, Au naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
Ya rais nayo ilikuwemo?
 
wana low self esteem mkuu ni profession flani iliyosahaulika si unaona hali za mahakama zilvyo nchini masjala nzuri hakuna majengo chakavu. kuna kipindi jk alitaka kuvunja ile mahakama ya rufaa aweke hotel pale ha ha ha ha ha

Chanzo cha hili neno si Tanzania
 
Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.

Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.

Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
Nasikia naye uliyempa AHSANTE ni miongoni
 
Back
Top Bottom