Taarifa nilizopata toka mahakamani.Wakili msomi Alberto Msando ndiye anawatetea Wema,TID na Vanessa.Japo kwa leo vanesa hakuweza kupandishwa kizimbani.
Apana ... Albert msando ni raia wa Tanzania ila kwa yeye Anaishi ArushaMsando yupi? Huyu raia wa Malawi?
Kwasababu wanakurupuka.Ktk sheria mawakili wanaangalia udhaifu uliopo ktk kesi, na ndipo wanaposimamia hapo.
lkn huwa najiuliza sana kwanini kesi nyingi serekali huwa haishindi!!?
Apana ... Albert msando ni raia wa Tanzania ila kwa yeye Anaishi Arusha
mawakili wengi wataingia mitini kwenye hii kesi!
Kesi ya Arusha AmeishindwaAmeshindwa kumwekea Lema dhamana muda wote yupo Kisongola anaweza shutuma za madawa ya kulevya?
muulize lissu anamjua vizuri yuleWakili wao wa Instagram eti anaitwa wakili msomi