Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo


 
Anatafuta kiki... Hakuna anayemtaka
 
Vipi kesi dhidi ya Pauline Gekul wakili msomi Madeleka?
 
Ili mtu apate attention ni lazima ajibebishe kwa chadema hata kwa kuitaja tu.

Huyu mchumia tumbo ni lini alikuwa chadema?
 
Back
Top Bottom